Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


HIYO PESA UNAYOIONA NDOGO SANA NA KUIDHARAU INA UWEZO WA KUKUPA KIWANJA KIKUBWA KIZURI NA AMBACHO UTAJISIFU NA KUJIPONGEZA SIKU MOJA KUWA HUKUJICHUKULIA POA UKIAMUA KUTUCHAGUA SISI KUFANYA MAAMUZI YAKO ,Njoo nayo hiyo inatosha sanaa
Tuna mradi mpya na mzuri sana kwa sasa
📍MWASONGA KIGAMBONI
Bei ni 10,000@sqm
Malipo ni miezi 10
Yani ukiwa na milioni 4 na kuendelea tayari una mahali pako pa kuishi kigamboni Dsm Tanzania
#viwanjakigamboni #viwanjadar #viwanjadodoma #viwanjatz #explore #music #life #lifestyle #tanzania🇹🇿 #video #viral #viwanjadodoma #viwanjakigamboni #plot #foryou #followforfollowback #fyp