Plot for sale at Kihonda, Morogoro
TSHS MIL 950, NYUMBA INAUZWA
IKO-MOROGORO Tz
MAHALI-KIHONDA
UMBALI MITA 700 TOKA ROUND ABOUT YA MSAMVU PIA MITA 100 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
ENEO UKUBWA SQM 8007 (HEKA 2)
NYARAKA ZA UMILIKI INA HATI
NYUMBA KUBWA YA KISASA
YENYE;
Vyumba 8 vya kulala full AC vyote ni master kasoro kimoja, Dinning, Sebule 2, Jiko & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
NDANI YA FENCE KUNA SHULE YA NURSERY, SHAMBA KUBWA LENYE MAZAO NA MABWAWA YA SAMAKI PIA NJE KUNA FRAME 4 ZA BIASHARA
#NB/-VIKO KATIKATI YA MJI VERY POTENTIAL AREA KI-INVESTMENT YA BIASHARA YOYOTE ILE HATA KIMAKAZI PIA SEHEMU TULIVU SANA KWA WAKAZI WA MOROGORO NAFKIRI MTAKUA MNANIELEWA VIZURI NA KIHONDA YENU HAINA MGOGORO WANAOUZA WANA HOFU YA MUNGU NA AKILI ZAO TIMAMU
VYOTE HIVI VINAUZWA KWA PAMOJA
BEI INAUZWA TSHS MIL 950
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118