Plot for sale at Kijitonyama, Dar Es Salaam
ENEO LINAPATIKANA - VICTORIA, KIJITONYAMA
Eneo dogo lakini lenye fursa kubwa za uwekezaji! 🚀
• Uwekezaji bora: Jenga ofisi ndogo, gorofa kwa biashara, saluni za kisasa, spa, au huduma za massage.
• Faida kubwa: Eneo lipo sehemu yenye mzunguko mzuri wa watu, linalofaa kwa biashara yoyote.
• Bei: TSH Milioni 65 tu 💰
• Hati miliki: Mmiliki halali yupo, nyaraka zote ni sahihi (Serikali ya Mtaa).
Usikose fursa hii adimu—wekeza leo na hakika utavuna kesho! 🌟
#EneoLaBiashara #UwekezajiMkoaWaDar #FursaZaBiashara #KiwanjaDar #RealEstateTanzania #WekezaNaFaidi #BiasharaYenyeFaida#fensed#dalalisosotabata