Plot for sale at Kilakala, Morogoro
Kama mnavyotujua kuwa kila siku tunawaletea vitu vyenye ubora. Basi leo tunawaletea kiwanja cha kitajiri na Kishua zaidi kilichopo maeneo ya Morogoro Mjini, Kilakala chenye ukubwa wa Square meter 1774.
Moja ya sifa nzuri sana ya kiwanja hiki ni kuwa unapata kuona view nzuri sanaaa ya mji wa Morogoro na sauti ya maji ya kitiririka kutoka Mlimani pamoja na Hali hewa nzuriiii ya kukutuliza na kukupunguzia mawazo
Kiwanja hiki kimepimwa na kina hati miliki na unaweza ukakimiliki kiwanja hiki kwa gharama ya million 60 tu.