Plot for sale at Kilimanjaro


SHAMBA LINAUZWAA MKOA WA KILIMANJARO BEI POA SANAA!!!
SHAMBA hili Liko Kilimanjaro wilaya ya Hai Kata ya Masama Rundugai kijiji mkalama.
SHAMBA Lina ukubwa wa heka 4, huduma zote za kijamii kama Maji, Umeme, barabara etc. zipoo!
Eneo hili linafaa Kilimo, Ufugaji au Kujenga Shule.
PRICE NI MILIONI 4 KWA KILA HEKA MOJA!
Kwa maelezo zaidi nichek 0717916034
Whatsup au Sim kawaida.