Plot for sale at Kilimanjaro


KIWANJA KINAUZWA BOMA NG'OMBE
Location; Bomang'ombe Kilimanjaro, Mumbai jirani na uzunguni.
Kiwanja kina ukubwa wa 20/40 (square meters 800)
Huduma zote za kijamii zipo kama maji, umeme, barabara etc
Kiwanja Kinafaa sana kwa Makazi, mazingira ni mazuri na tulivu sana.
Price ni Milioni 8, Maongezi yapo.
Wahi Chap nichek 0753146004


















