Plot for sale at Kiluvya, Pwani


Kiwanja kizuri hiki hapa! Kina ukubwa was 1600m² kinauzwa kama kilivyo 30,000,000/= kipo hapa Kiluvya Kwa Bi Kivuzi.
Kipo mita 150toka main Road!
Km7 Toka Morogoro Road! Hapa panafikika Muda wote,Yani hakuna matata!
Utaratibu wa malipo ni CASH au INSTALLMENT
CASH: 28,500,000/=
INSTALLMENT: 30,000,000/= ndani ya Miezi Mitatu TU.
Plot imerasimishwa Bado kupata approval!
Wahi
0659 972 868