Plot for sale at Kiluvya, Pwani


KIWANJA KIZURI JIARANI NA LAMI, TSHS.24 MILIONI, KILUVYA KWA-KOMBA.
Kipo umbali wa wastani wa mita 300 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
(Dakika 5 tu upi Kituoni.
Kiwanja ni kizuri na kipo sehemu ambayo imejengeka.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Ukubwa SQM. 500
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
________________mmLkbL
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.