Plot for sale at Kiluvya, Pwani


JENGO HILI LA GOROFA TATU LINAUZWA,LIMEJENGWA KWA MFUMO WA HOTEL,HILA LINAFAA KWA MATUMIZI MENGINEYO,KAMA HOSPITAL AU MAKAZI.
LINA VYUMBA 12,CHINI KUNA VYUMBA VIWILI, RECEPTION, COUNTER,NA PUBLIC TOILET MBILI.
GOROFA MBILI ZA JUU ZOTE ZINA VYUMBA VITANO/VITANO AMBAVYO VYOTE NI MASTER,NA VINA MAKABATI.
BALCONY 4.
HIPO KILUVYA KWA KOMBA,UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI METRE 700 TU.
UKUBWA WA ENEO SQUARE METRE 1200.
LINA CLEAN TITLE DEED.
BEI 270M.
MAONGEZI.
CALL 0717191719/0765003638