Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KIKUBWA KINAUZWA KIPO JIRANI NA STAND YA BAJAJI
KIWANJA KIPO KIMARA SUKA UMBALI WA KILOMETA 3
UKISHUKA KWENY BAJAJI KIWANJA HICHO HAPO
KIWANJA KIKUBWA UNAWEZI JENGA NYUMBA NA MBELE UKA WEKA FREMU AU UKAJENGA NYUMBA ZA WAPANGAJI
UMEME NA MAJI VIPO JIRANI
KIWANJA KIMEPIMWA KINA MAWE
UKUBWA WA KIWANJA NI 30 KWA 20 KIWANJA KIZUR KIPO STAND AMBAYO NI SQMT 600
BEI NI MILION 25 MAONGEZI FIKA SITE
Contact
0652472014
0754344786