Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YENYE ENEO KUBWA INAUZWA PAMOJA NA FREMU ZAKE ZIPO 5 KUBWA
....💥 NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO .........
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YAPO
..............................
PIA KUNA SERVANT COTER YA VYUMBA 2 NA SEBULE NA JIKO .............
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA (FULL DOCUMENTS)
UKUBWA WA ENEO NI :- UREFU NI METERS 40 NA UPANA NI METERS 30
BEI NI MILIONI 120 MAONGEZI YAPO
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1
KUONESHWA NYUMBA HII NDUGU MTEJA GARAMA YAKE GARAMA YAKE NI ELFU 30
0655256419