Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


Nyumba underground inauzwa ipo
Kimara B
Ina: chini >2 bedroom ✅
1 master room ✅
Sitting room kubwa sana ✅
Ina: juu >4 bedroom ✅
2 master room ✅
Sitting room kubwa sana ✅
Kitchen ✅
Toilet public + nje kuna choo pia.✅
Jumla vyumba vipo 6 vya kulala ✅
Ukubwa wa kiwanja sqm 625.✅
Kiwanja kimeshapimwa becone tayari bado kulipiwa ardhi hati miliki tittle deed itoke ✅
Documents:mauziano serkali ya mtaa 📄
Ukiwa unatokea mbezi unaingilia kimara temboni upande wa kushoto ✅
Umbali kutoka barabara kuu ya lami mpaka nyumbani ni mita300 ✅
Barabara ya mtaa ni ya zege mpaka getini kwenye nyumba ✅
Car parking space ipo gari 5✅
Bei:155ml
Call/WhatsApp 0745488000