Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
KIWANJA 💥 KIWANJA 💥 KIZURI SANA KIKUBWA
KINAUZWA KIMARA TEMBONI KIPO NDANI YA UZIO
💥 KIWANJA HIKI KINASIFA ZIFUATAZO
#KIWANJA HIKI KIMEZUNGUSHIWA UKUTA CHOTE
# KIPO SEHEMU NZURI
# KINAFAA KWA MAKAZI
#KINAFAA KUJENGWA NYUMBA ZA BIASHARA
UKUBWA WA ENEO NI METERS 30 / 35
BEI 45,000,000/= MILIONI
BEI NI MILIONI 45 MAONGEZI YAPO SERVICE CHARGE 50000 Kuona Kiwanja Site fee
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA BARABARA INAFIKA HADI SITE
DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
KIWANJA HIKI KIMEPIMWA BADO KUPATIWA HATI MILIKI TUU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453