Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI NA BADO MPYA INAUZWA KIMARA SUKA YENYE SIFA HIZI
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER, SEBULE KUBWA, JIKO, DINNING NA CHOO PUBLIC
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
PIA KUNA BOY COTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO UNFINISHED####
UKUBWA WA KIWANJA SQM 450***
PAMEPIMWA INA ULASIMISHAJI NA KUNA MAWE****
HATI MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
UMBALI TOKA LAMI KM 2.5****
BEI ML 67 MAONGEZI YAPO KIDOGO
Service charge ni shilingi 25,000
Contact:
0654101710
0787205300