Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
Minja real estate & Car Broker introduce:-
Nyumba inauzwa Kimara Mwisho.
Nyumba ina vyumba vitano na viwili masters.
Ina choo cha wageni, jiko na sebule.
Kiwanja ni Sqm 2000 ukubwa sawa na nusu heka.
Hati ipo.
Nyumba ilipo kwenda barabara ya lami kituo cha mwendo kasi ni km 1.
Kuna fremu 5 na zote zimejaa wapangaji pako full.
Bei mil 320.
Nipigie 0687575770 Ivan the Don kwenda kupaona.
MUNGU BARIKI KAZI YA MIKONO YANGU.