Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YENYE ENEO KUBWA INAUZWA PAMOJA NA FREMU ZAKE ZIPO 5 KUBWA
🏡 NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YAPO
PIA KUNA SERVANT COTER YA VYUMBA 2 NA SEBULE NA JIKO
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA (FULL DOCUMENTS)
UKUBWA WA ENEO NI :- UREFU NI METERS 40 NA UPANA NI METERS 30
BEI NI MILIONI 120 MAONGEZI YAPO
🏡NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1
KUONYESHWA NYUMBA HII NDUGU MTEJA GARAMA YAKE GARAMA YAKE NI ELFU 30
What saapp number ⬅️ 0689-547258