Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA KIPO SEHEMU NZURI KIPO JIRANI NA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD NA KINAFAA KWA UJENZI WA AINA YEYOTE
๐ KIWANJA HIKI KINA SIFA ZIFUATAZO
#KIPO JIRANI NA BARABARA
#HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO
#KIPO SQUARE
#KIMEPIMWA
UKUBWA WA KIWANJA NI METERS 25 UREFU,, METERS 24 UPANA
BEI NI MILIONI 35
MAONGEZI YAPO
====.
๐ซ๐ซ KIWANJA HIKI KIPO KIMARA STOP OVER NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE KIWANJA
KUONESHWA KIWANJA HIKI GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
======
CONT
0683234124
0718367179