Plot for sale at Kinondoni, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KIZAMANI, TSHS.35 MILIONI, KINONDONI MKWAJUNI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.200.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hapa ni jirani na Kituo cha MWENDOKASI KWAJUNI.
Mtaa mpana panafaa sana kuweka nyumba ya kisasa.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.