Plot for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MILIONI 13 MAONGEZI KIDOGO YAPO KIPO KINYEREZI KIFURU DSM,DK 12 KWA MIGUU TOKA LAMI.
_____________
BEI MILIONI 13 MAONGEZI KIDOGO YAPO
UKUBWA MITA 22×15
KIWANJA KIPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA KINA NJIA 2 PANAFIKIKA KWA GARI YOYOTE
HUDUMA YA MAJI NA UMEME IPO HAPO KWENYE KIWANJA
________________
KUONA KIWANJA NI TSH 15000
0679062127