Plot for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa kinyerezi kifuru.
Kiwanja kipo mita 500 kutoka lami, ni corner plot
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 3,900
Pamepimwa hati bado.
BEI; Million 175.
Mtaa mzuri sana,.
Piga; 0754 587 611
; 0718 950 277
Karibuni sana.