Plot for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAUZWA ML 90 MAONGEZI YAPO IPO KINYEREZI KIFURU KUTUO MWANZO MGUMU,DK 1 TOKA BARABARA YA LAMI
__________________
MKOA__DAR ES SALAAM TANZANIA
WILAYA__ILALA
MAHALI ILIPO__KINYEREZI KIFURU,MWANZO MGUMU
_________________
BEI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO
UMILIKI__BARUA YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
MWENYE NYUMBA NDO ANAYEUZA
UKUBWA WA KIWANJA NI MITA 20×20=SQM 400
_________________________
SIFA YA NYUMBA
_________________
__VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
__SEBULE
__DINNING ROOM
__JIKO KUBWA
__CHOO CHA FAMILIA
__UMEME NA MAJI DAWASCO VIPO NDANI YA NYUMBA
__FENSI IMEJENGWA UPANDE MMOJA
___________________
KUONA NYUMBA TSH 20000/=
0679062127
NB__NYUMBA TAYARI INA MPANGAJI ANALIPA TSH 350000/=