Plot for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Eneo safi kabisa linauzwa Kinyerezi Shule.
Ni dakika 15 kutoka main road ukiingilia Kinyerezi Shule (The Voice).
Panafikika bila shida.
Pana nyumba mbili ndani.
Eneo ni very potential panafaa kwa makazi binafsi au ata uwekezaji.
Ukubwa: Sqm 1200
Bei: Mil 75
Muhitaji piga 0688 412 890.