Plot for sale at Kisarawe, Pwani


NYUMBA INAUZWA BEI YA KUTUPWA.
IPO KISARAWE, SHULE YA MSINGI KISANGA.
KUTOKA RAMI NI DAKIKA 3 KUTEMBEA.
INA VYUMBA VITATU MOJA NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, JIKO LA KISASA NA CHOO CHA PUBLIC.
UKUBWA WA ENEO NI HEKA MOJA YOTE IMEZUNGUSHIWA FENCE.
INA MATENKI YA MAJI MAWILI YA LITA 3000
MUUZAJI ANA MATATIZO YANAYOMSIBU
KWENDA KUONA NYUMBA NI 30,000
WAHI UPATE MAKAZI MURUA.
INA MABANDA YA KUFUGIA KUKU YAKO KUMI.
#BEI MILIONI AROBAINI/40,000,0000
0785088191