Plot for sale at Kisarawe, Pwani


Kiwanja hiki ni 20/20 kipo kisarawe geti la maliasili ...ni kizuri kwa biashara au makazi na bei ni nafuu barabara ya mtaa imepita mbele ya kiwanja. kama hatua 100 kuna nguzo ya umeme..kufika ni rahisi sana kwa gari za umma ni saa moja tu kutokea gongolamboto
Gharama ni nafuu kabisa 900,000 tu sawa na bureee..