Plot for sale at Kitanda, Ruvuma


🔥🔥ENEO MKABALA NA MSAMVU BUS STAND MOROGORO LINAUZWA
Eneo lina ukubwa wa sqm : 1,400
Location: Morogoro, Msamvu mkabala na stand ya mkoa.
Eneo limeganyika kama ifuatavyo;
1.Kuna lodge ya Vyumba 6
Kwenye kila chumba cha lodge kuna kitanda, AC na feni na kabati kila kitu kwenye lodge mtu akinunua anachukua.
2.Kuna bar hiyo kama unavyoona ina viti meza na jiko kwahiyo mtu akinunua ananunua asset zote pia.
3.Kuna sehemu ya car wash na open bar hapo nimetuma kwenye video.
4.Afu eneo hilo nje lina uwazi mpaka mwisho wa lami ya barabara kuu ya magari kama ilivyo kwa video hapo juu.
Eneo limepimwa na halina migogoro ya aina yeyote na hati zipo.
Bei elekezi : 970,000,000/=
#Clall 0752111140