Plot for sale at Kitunda, Dar Es Salaam


Eneo lLenye NYUMBA TATU mbili za GOROFA na Moja ni ya chini LINAUZWA lipio KITUNDA RELINI DAR ES SALAAM TANZANIA.
SIFA ZAKE -
- Hati Miliki
- Barabara inafikika vizuri Mpaka Site.
- Kuna NYUMBA tatu na zote zinawapangaji.
- kila nyumba inajitegemea umeme na maji yapo 24hrs.
Ukubwa wa Eneo ni -
Sqm 1,118.
Hati Miliki.
Bei Milioni 700
Maongezi yapo kidogo.
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI


















