Plot for sale at Kurasini, Dar Es Salaam






*Plot ya ekari 1.5 kwa ajili ya ICD inatazama Barabara ya Daraja la Nyerere, Kurasini*
📍 Kigamboni Bridge road mita 900 kutoka entrance ya Daraja, na 4.4 km mpaka Bandari ya Dar es Salaam
✅Kiwanja ni kitupu kinatazama Barabara ya lami ya Darajani
*Kiwanja kinafaa kwa matumizi ya Bandari kavu kwa sababu kipo karibu na Bandari ya Dar es Salaam*
✅Ukubwa wa kiwanja ekari 1.5
✅Document: Title Deed
*Bei $ 1.8 million
( 0629827031 ) ...☎️ Kwa mawasiliano
#realestate #kiwanjakinauzwa #plotforsell #propertyforsaletanzania #kigambonidaressalaam



















