Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam
SHULE NZURI YA KISASA INAUZWA
LOCATION
MADALE FLAMINGO
Umbali mita 800 tu kutoka flamingo center au madale road
SIFA
√ Shule ina madarasa 12 ikiwemo ofisi, kumbi mbili za kulia chakula wanafunzi, na jiko la kupikia
√ Shule ina Ghorofa moja yenye madarasa sita yote ni self yani yana vyoo ndani
√ SHULE ina nyumba ya vyumba viwili maalumu kwa jili ya mwalimu na mwalimu mkuu wa shule
√ SHULE ina vyoo vya kisasa sana na pia ina vyoo maalumu ambavyo hutumika na wanafunzi wenye uhitaji maalumu
√ SHULE ina Eneo la michezo kwajili ya watoto pamoja na swimming pool ya kuogelea
√ SHULE ina umeme, maji safi dawasco na vyumba vimeweka mfumo wa maji pamoja na vyoo vyake
√ SHULE ipo mtaa mzuri sana uliojengeka na barabara safi inayopitika muda wote kiangazi na masika
√ Eneo lote linazunguka shule limezungshiwa ukuta.
**Plot size Sqmt 2500
Document
TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
Bei
Tsh. milioni 700
Wasiliana nasi;
0684217177, 0716834095