Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam






Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo jirani na lami kwa wale wa apartment hapo ndio mahala pake
Kipo ndani ya fensi na Kina barabara mbili
Ukubwa-sqm 915 Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 130 maongezi
Location- madale kwa kawawa
Umbali-mita 150 kutoka main road
0745559598