Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


35 MILION MAONGEZI YAPO
Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri sana kinafaa kwa apartment km unavyoona zingine hizo za ghorofa
Ukubwa-sqm 400
Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 35 maongezi
Location- madale Atlas
Umbali-km 1 kutoka main road madale six mnadani
Na mita 200 kutoka mivumoni road inayowekwa lami
0745559598