Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:
Kiwanja tambarare mkeka yaani kimenyooka mwenye Macho haambiwi tazama
Ukubwa-sqm 700
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 22 maongezi
Location- madale mbopo
Umbali-km 4 kutoka main road madale mwisho
Karibuni
Dalali Tegeta 0718809744 / 0784234971