Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


Nyumba mpya kali sana ya kisasa inauzwa:
Nyumba Ina vyumba vi 3 vyote ni self contained.
Dirning sitting jiko stoo public toilet bafu na study room
Full makabati jiko na vyumbani
A/C vyumba vyote..
Pia ina
Servant coter mbili
Chumba masta na jiko na chumba masta
Counter ya kisasa na Choo cha public
Electric fence , garden na maji dawasco
Pia nyumba Ina barabara pande mbili na mageti mawili
Eneo ni la kutosha kufanya chochote unachotaka
Ukubwa-sqm 2800
Umiliki- hati miliki
Bei-ml 500 maongez kidogo
Location- madale mivumoni jirani na Reca hotel
Umbali-Mita 500 toka lami ya madale
—
Nipigie simu 0718342088