Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana yakifahari
Bei milioni 500 maongezi
Ina hati miliki
Kiwanja ukubwa Sqm 2,800
Ipo madale mivumoni
#vyumba_3_KimojaMaster_Sebule_dinning_jiko_bafu_store_publicToilet_Umeme_Maji_fence_garden_pavingBlocks _Full_A/C
Nyumba ndogo zipo mbili zenye chumba master sebule najiko
Ina mageti mawili nyuma NAMBELE
Mageti yake yaumeme (Remote
Umbali km 1.4 Kutoka lami YAMADALE goba Pia MITA 100 Kutoka BARABARA KUU yawazo mivumoni Ambayo hivi karibuni itatengenezwa KIWANGO CHALAMI.
Nipigie +255 688 256 905/WtsApp