Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam
SHULE NZURI YA KISASA INAUZWA MILIONI 700 - IPO MADALE FLAMINGO (DAR ES SALAM ).
◇Shule ina madarasa 12 ikiwemo ofisi kumbi mbili za kulia chakula wanafunzi jiko la kupikia
◇Shule ina Gorofa moja yenye madarasa sita yote ni self yani yana vyoo ndani
◇SHULE ina nyumba ya vyumba viwili maalumu kwajili ya mwalimu au mwalimu mkuu wa shule
◇SHULE ina vyoo vya kisasa sana kama unavyoona kwenye picha
◇SHULE inavyoo maalumu ambavyo hutumika na wanafunzi wenye uhitaji maalumu
◇SHULE ina Eneo la michezo kwajili ya watoto pamoja swimming 🏊♂️ pool ya kuogelea
◇SHULE ina umeme maji safi dawasco na vyumba vimeweka mfumo wa maji pamoja vyoo vyake
◇SHULE :Ipo mtaa mzuri sana ulio jengeka vyema sana barabara safi inayopitika muda wote kiangazi na masika
◇Eneo lote linazunguka shule limezungshiwa ukuta.
◇Plot size : Sqmt 2500
◇Document : Hati Miliki ( TITLE DEED )
- Umbali: Meter 800 Tu Kutoka Barabara Kuu Ya Lami ( Flamingo Centre)
- Bei: 700 Million (Maongezi Yapo)
- Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
☎️0788077337 ☎️0625637254