Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


Kiwanja Kinauzwa
Bei milioni 100 maongezi
Ukubwa SQM 2,000
Kipo madale mwisho
Kinagusa BARABARA KUU YAKWENDA mbopo KIWANGO CHALAMI
*KATIKA KIWANJA HIKI MTEJA UTAHUSIKA KATIKA KUMLIPA
mandai_dalali 7% kwabei utakayo nunulia Kiwanja.Maelekezo yamuuzaji halipi dalali.
KUMBUKA
Hii barabara mwaka huu muda wowote itaanza ujenzi Kiwanja CHALAMI.
Sim +255 688 256 905/WtsApp