Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Madale.
Square Meters : 1150.
.
.
Bei : Million 350/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
3 Master Bedroom's.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Electric Fance.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Madale moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 350 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Eneo la nyumba bado Ni kubwa Kama wewe ni Mpenzi wa bwawa la kuogelea unaweza kujenga pembeni hapo.
.
Ipo Madale Maarufu Kama Madale Sheraton upande wa Kulia ukiwa unatoka Tegeta.
.
Ukiwa unatoka Goba ni upande wa kushoto.
.
Mji wa Madale bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 6 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni meter 500.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

✨ NYUMBA INAUZWA – MADALE | KM 1.5 TOKA LAMI 🏡Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa, ipo kwenye eneo tuliv...

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 68,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kiwanja sukari kipo katikati ya fens pande 2Ukubwa-sqm 800Kimepimwa bad...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

Nyumba nzuri sana ya kisasa ya kumalizia finishing inauzwa:Nyumba ipo mtaa mzuri sana ni kona plot R...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:Kiwanja tambarare mkeka yaani kimenyooka mwenye Macho haambiw...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

...A VERY BEUTFUL & MOST PRIME PLOT FOR SALE//0768632709INAUZWA BEI YA MAOKOTO🥳🥳🥳 ✍️HII NI BABAL...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

..NEW HOUSE FOR SALE//🙌A VERY AMAIZING & MOST BEUTFUL HOUSE FOR SELLLLLL 🙌👊🏻📌LOCATION: MADALE ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

Kiwanja kipo madale mwisho barabarani kinauzwa Bei milioni 165 maogezi yapo ukubwa mqs 1050 kimepimw...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

Kiwanja kipo madale mwisho barabarani kinauzwa Bei milioni 165 maogezi yapo ukubwa mqs 1050 kwa maer...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA,SQM 800tambalala kabisamaji na umeme vipomadale,bei 57m, mazungumzo kdg07455...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

PLOT FOR SALEMADALE MBOPOPLOT SIZE 700SQMMAUZIANO SERIKALI YA MTAA4KMS TOKA MADALE MWISHOPRICE TZS 2...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:Kiwanja tambarare mkeka yaani kimenyooka mwenye Macho haambiw...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:Kiwanja tambarare mkeka yaani kimenyooka mwenye Macho haambiw...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWA MADALE ( MBOPO )SQM 800,tambalale kabisamaji na umeme vipo,ukubwa SQM 800 PLUSbei 3...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kiwanja sukari kipo katikati ya fens pande 2Ukubwa-sqm 800Kimepimwa bad...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kiwanja sukari kipo katikati ya fens pande 2Ukubwa-sqm 800Kimepimwa bad...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kiwanja sukari kipo katikati ya fens pande 2Ukubwa-sqm 800Kimepimwa bad...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

SQM 881 MADALE CENTER,Kiwanja kinauzwa madale center,kimepimwa tayartambalale kabisamaji na umeme vi...

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

VIWANJA VINAUZWA MADALE CENTER ( MBOPO )Vimepimwa tayartambalale kabisamaji na umeme vipo,bei 50k pe...

5 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

✨ GHOROFA YA KISASA INAUZWA – MIVUMON, MADALE! 🏡🏊‍♀️Unatafuta nyumba ya kifahari iliyojaa kila kit...

5 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

✨ GHOROFA YA KISASA INAUZWA – MIVUMON, MADALE! 🏡🏊‍♀️Unatafuta nyumba ya kifahari iliyojaa kila kit...