Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA.
Nyumba IPO madale shelatoni,,kutokea barabara kuu mita 200,,nyumba inavyumba 3,,master 1,,bedrooms 2,,choo,,bafu,,jiko,,sitting room,,dining room,,na store,,nyumba
Ime Pauliwa,,bado umaliziaji waplasta,,.malumalu ,,madirisha gypsam navitu vidogo vidogo,,BEI milioni 45 maongezi yapo,,,ukubwa wakiwanja mita 20x30,,,.mazingira iliyopo nimazuri,,kuwa huru mteja wetu kuja kuona nyumba hiyo,,
MAWASILIANO,,,,,,,,,0657649176.
WhatsApp,,,,,,,,0653956218.
MTEJA KWETU NIMFALME.
NYOTE MNAKARIBISHWA.