Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo barabara kubwa ya mtaa
Ukubwa-sqm 1200
Umiliki-hati miliki
Bei-ml 48 maongezi
Location- madale msigani
Umbali-km 1.kutoka barabara kubwa ya msigani inayowekwa lami Kwa sasa
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















