Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa Kipo USHUWANI KWA MADONI hakuna kuombana CHUMVI wahi chapu tumalize biashara
Ukubwa-sqm 1100
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 55
Location- Darajani mpakani ya madale na msumi
Umbali-km 2 kutoka main road madale glosali
Karibuni