Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
IPO MADALE - DAR ES SALAM TANZANIA
Ina Vyumba Vitatu kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen & Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limerasimishwa Tayari)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri
Bei : 90 Million
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000
CONTACT
#0766971358
#0719657411