Plot for sale at Majengo, Dodoma


JE UNAJUA KILA SIKU UNAPOTEZA PESA KILA KUJUA
Unajua kila siku unatumia pesa kwenye mambo madogo madogo ambayo ukijumlisha unaweza kufanya UWEKEZAJI
✅chai na vitafunwa vya asubuhi- TSH 3000 kila siku = TSH 90,000 kwa mwezi
✅vifurushi vya intateni bila mpango- TSH 2000 kila siku = TSH 60,000 kwa mwezi
✅Kula chips yai kila siku badala ya kupika nyumbani- TSH 3000 kila siku = TSH 90,000 kwa mwezi
✅Bodaboda badala ya kupanda daladala au kutembea umbali mfupi
- TSH 3000 kila siku = TSH 90,000 kwa mwezi
✅Bia na vinywaji baridi jioni- TSH 5000 kwa siku = Tsh 150,000 kwa mwezi.
👉🏼👉🏼👉🏼Sasa fikiria, kama ungeweka pesa hizi kwenye uwekezaji wa ardhi au majengo ungekuwa anamiliki maeneo mangapi leo?
Jifunze kudhibiti matumizi yako, weka bajeti, anza safari ya kuelekea kumiliki ardhi leo
Miliki kiwanja leo kuanzia gharama ya Tsh 1.500,000 na shamba kuanzia Tsh 3,000,000 kwa heka
📞📞📞0785367831
Whatsapp 0769355987