Plot for sale at Makumbusho, Dar Es Salaam


Nafasi inapatikana maeneo ya Makumbusho karibu na kituo cha mabasi cha Makumbusho.
Eneo lina ukubwa 460sqm.
Eneo linafaa kwa biashara ya storage, depo ya vinywaaji, kiwanda kidogo cha furniture n.k.
Eneo lina fence pamoja na, umeme na maji.
Kodi 2.5 million kwa mwezi