Plot for sale at Mapinga, Pwani
DATE: 28/07/2024
NYUMBA INAUZWA
___________
LOCATION: MAPINGA - UDINDIVU
___________
KIWANJA: Kina ukubwa wa Sqm 400.
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, Chumba 1 Master, Sebure, Dining, Jiko na Public Toilet.
Maji ya Dawasco na Ina umeme wa Tanesco
BEI: TSH MIL 55. Ila maongezi yapo
___________
Kwa Mawasiliano:-
Piga/WhatsApp : 0769318773