Plot for sale at Mapinga, Pwani


NYUMBA INAUZWA.
IPO mapinga njia yabagamoyo,,NYUMBA kabla haujafika kerege,,nyumba IPO umbali wamita 200,,kutokea barabara kuu yarami,,nyumba yakisasa yavyumba 3,,master 1,,bedroom 2,,choo,,bafu,,jiko,,sitting room,,dining,,nastore,,,umeme upo ,,IPO ndani yafence,,eneo ukubwa mita 20x30,,,BEI yanyumba milioni 35 maongezi yapo,,karibu sana mpendwa mteja wetu,,tunathamini uwepo wako KWETU,pia kuwa guru muda nawakati wowote kuja kuona nyumba hii,,karibu sana mteja wetu,,,
MAWASILIANO,,,,0657649176.
WhatsApp,,,,,0653956218.
MTEJA KWETU NIMFALNE.
NYOTE MNAKARIBISHWA.