Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 10, KWA MGUU
======
BEI NI MILIONI 30/
MAONGEZI KIDOGO YAPO
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITANO KIMOJAWAPO NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA DAINING JIKO NA CHOO CHA PABLIC
UMEME UPO
MAJI DAWASA YAPO
UKUBWA WA ENEO NI SQM 400/
MITA 20 KW 20
=======
DOCMENTI SAFI ZA MAUZIANO SELEKALI YA MTAA
BARABARA NI LAMI MPAKA KWENYE NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347