Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro
Hapa ni Kifuru Cheka Nao Kuna kiwanja kinauzwa ni cha pili tu kutoka Balabala kuu ya mtaa
Bei: 50 Milion #maongezi_yapo
Service Charges:30,000 (Unalipia Mala moja Tu)
Ukubwa wa Kiwanja ni Sqm 1594
Umiliki-Kiwanja kina HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI
UMBALI- Ni KM 3 kutoka kifuru Mwisho (Bajaji 500 Boda Boda 1000 Tu Mpaka Site Panafikika kwa Ulahisi Mno)
Huduma zote zipo za Kijamii kama Vile
✅️Umeme
✅️Maji
✅️Shule
✅️Hospital
Kiwanja kipo katika mazingira mazuri sana Mtaa mzuri kumejengeka sana panafaa kwa uwekezaji au kwa kuishi vyovyote vile panalipaa
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls;
☎️0785916587 Whatsp/Calls
☎️0627511524 Whatsp/Calls