Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro
TSHS MIL 170, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-BOKO BASIHAYA
UPANDE WA JUU
UKUBWA WA KIWANJA KIMEPIMWA SQM 650
NYUMBA MPYA YA KISASA
NZURI YA FAMILIA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni master, Dinning, Sebule, Jiko zuri lenye Makabati, Choo & Bafu vya ndani + Choo kingine nje
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji (Simtank lita 5000)
Full AC, Heater ya maji moto
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Securityfenced
BEI INAUZWA TSHS MIL 170
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;- 0694518132