Plot for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Ipo mbagala saku mwishu jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa mkondogwa
Hii nyumba ni nzuri sana ime jengwa vzuri kabisa ni nyumba ya kisasa kabisa ina uzwa bei nzuri sana tsh million 69 tu
Ukubwa wa eneo square miter 800
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikish Usha fanyika
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Pia uwani kuna vyumba viwili vya kulala Bado kuezeka tu
Mbele ya nyumba kuna frem mbili za maduka
Nyumba ina tizama bara bara kuu ya saku ukishuka tu kwenye dala dala una ingia ndani
Nyumba nzuri sana wadau wangu
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175
0652618143