Plot for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ipo mbagala kingugi nyuma ya dar live mdau nyumba ni nzuri sana
Ipo kingugi zakhem kwa mbele kidogo Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya k/mj
Ina uzwa tsh million (68) tu
Ukubwa wa eneo square miter 750
Ime pimwa upimaji shilikish ina reseni
Ya makazi
Nyumba ina vyumba 10 vya kulala kimoja master bedroom ina frem mbili za maduka nyumba nzuri sana ipo ndani ya fence gari ndogo 4 zina ingia ndani
Nyumba kubwa ina vyumba vnne vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Na uwani kuna vyumba (6) vya mabanda ya nje
Ukitaji maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp
0759203175. 0652618143