Plot for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana ipo mbagala chamaz kwa masister Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya jiji la dar es ina uzwa tsh million 49 tu
Ukubwa wa eneo square miter 500
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek inbox
0759203175. 0652618143